Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Haqqah — Ayah 30

69:30
خُذُوهُ فَغُلُّوهُ ٣٠
(Pasemwe): Mshikeni! Mtieni pingu!1
Footnotes
  • [1] Wataambiwa walinzi wa Jahannamu: Mshikeni, na mfungeni mikono yake kwenye shingo yake.