Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'arij — Ayah 25

70:25
لِّلسَّآئِلِ وَٱلۡمَحۡرُومِ ٢٥
Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba;1
Footnotes
  • [1] iliyo wekwa kwa ajili ya masikini mwenye kuomba kutaka msaada, na anaye jizuilia kuomba pia. (Katika wanao zuilika kuomba wanaingia si wenye kustahi na kuona vibaya tu, bali pia wasio weza kuomba kama watoto wachanga, wagonjwa, na wanyama pia.)