Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Jinn — Ayah 15

72:15
وَأَمَّا ٱلۡقَٰسِطُونَ فَكَانُواْ لِجَهَنَّمَ حَطَبٗا ١٥
Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu.1
Footnotes
  • [1] Ama majeuri walio iacha njia ya Uislamu basi hao watakuwa ndio kuni za Jahannamu.