Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah 'Abasa — Ayah 15

80:15
بِأَيۡدِي سَفَرَةٖ ١٥
Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,1
Footnotes
  • [1] Katika mikono ya Malaika ambao Mwenyezi Mungu amewafanya ndio mabalozi baina yake na Mitume wake;