Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah 'Abasa — Ayah 20

80:20
ثُمَّ ٱلسَّبِيلَ يَسَّرَهُۥ ٢٠
Kisha akamsahilishia njia.1
Footnotes
  • [1] Kisha akamfanyia nyepesi njia ya kufikia Imani, na akamfunza njia hiyo.