Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah 'Abasa — Ayah 37

80:37
لِكُلِّ ٱمۡرِيٕٖ مِّنۡهُمۡ يَوۡمَئِذٖ شَأۡنٞ يُغۡنِيهِ ٣٧
Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na lake la kumtosha1
Footnotes
  • [1] Kila mmojapo katika hawa atakuwa na jambo lake la kumshughulisha!