Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Mutaffifin — Ayah 2

83:2
ٱلَّذِينَ إِذَا ٱكۡتَالُواْ عَلَى ٱلنَّاسِ يَسۡتَوۡفُونَ ٢
Ambao wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe.1
Footnotes
  • [1] Ambao wakijipimia wenyewe kwa watu hujitwalia ya kutosha na kuzidi,