Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Balad — Ayah 11

90:11
فَلَا ٱقۡتَحَمَ ٱلۡعَقَبَةَ ١١
Lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani.1
Footnotes
  • [1] Basi huyo hakunafiika kwa tuliyo mtengenezea, wala hakuivuka njia ya milimani inayo mzuia asifikie uwokovu, nayo ni choyo wa nafsi yake.