Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-'Alaq — Ayah 18

96:18
سَنَدۡعُ ٱلزَّبَانِيَةَ ١٨
Nasi tutawaita Mazabania!1
Footnotes
  • [1] Sisi tutawaita askari wetu wamsaidie Muhammad na walio pamoja naye, na wapambane na huyo mwenye kukanya na wasaidizi wawasukume kwenye Jahannamu!