Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-'Adiyat — Ayah 1

100:1
وَٱلۡعَٰدِيَٰتِ ضَبۡحٗا ١
Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua,1
Footnotes
  • [1] Ninaapa kwa farasi wa Jihadi wendao mbio, na huku pumzi zao zinasikilizana kwa sauti inayo itwa "Dh'abh'an".