Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-'Adiyat — Ayah 5

100:5
فَوَسَطۡنَ بِهِۦ جَمۡعًا ٥
Na wakijitoma kati ya kundi,1
Footnotes
  • [1] Ikawa vumbi limewagubika maadui hata wakaingiwa kiwewe na kufazaika.