Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Takathur — Ayah 6

102:6
لَتَرَوُنَّ ٱلۡجَحِيمَ ٦
Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!1
Footnotes
  • [1] Nakuapieni na nakutilieni mkazo, enyi watu, kwamba hakika nyinyi mtakuja ushuhudia Moto unao waka.