Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'un — Ayah 6

107:6
ٱلَّذِينَ هُمۡ يُرَآءُونَ ٦
Ambao wanajionyesha,1
Footnotes
  • [1] Ambao huonyesha kwa watu vitendo vyao, ili wapate cheo katika nyoyo za hao watu, na wasifiwe.