Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Kawthar — Ayah 2

108:2
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ ٢
Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.1
Footnotes
  • [1] Ilivyo kuwa umepewa hayo, basi dumisha Swala kwa Mola wako Mlezi kwa usafi kabisa, na uchinje dhabihu wako kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa aliyo kupa ya ukarimu, na akakukhusisha wewe khasa kwa kukupa kheri.