Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Nasr — Ayah 1

110:1
إِذَا جَآءَ نَصۡرُ ٱللَّهِ وَٱلۡفَتۡحُ ١
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,1
Footnotes
  • [1] Ikithibiti nusura ya Mwnyezi Mungu na ushindi kwako na kwa Waumini,