Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Masad — Ayah 1

111:1
تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبٖ وَتَبَّ ١
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.1
Footnotes
  • [1] Imeteketea mikono ya Abu Lahab iliyo kuwa ikiwaudhi Waislamu, na yeye mwenyewe amehiliki pia.