Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ikhlas — Ayah 1

112:1
قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ١
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.1
Footnotes
  • [1] Ewe Muhammad! Hao wanao sema kwa kejeli, "Tusifie Mola wako Mlezi.": waambie: Yeye ni Mwenyezi Mungu wa pekee hapana mwenginewe, wala hana mshirika.