Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Falaq — Ayah 1

113:1
قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ ١
Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,1
Footnotes
  • [1] Sema najikinga na Mola Mlezi wa asubuhi inapo pambazuka kutokana na usiku.