Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Falaq — Ayah 2

113:2
مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ٢
Na shari ya alivyo viumba,1
Footnotes
  • [1] Na shari ya kila chenye shari katika viumbe, ambavyo hapana wa kuzuia shari yao ila Mwenye kumiliki amri yao.