Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Nas — Ayah 1

114:1
قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ ١
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,1
Footnotes
  • [1] Sema: Najikinga na Mola Mlezi wa wanaadamu, Mwenye kuendesha mambo yao.