Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Qaf — Ayah 40

50:40
وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَسَبِّحۡهُ وَأَدۡبَٰرَ ٱلسُّجُودِ ٤٠
Na katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu.1
Footnotes
  • [1] Na pia mtakasishe, Msabbih, katika saa za usiku, na baada ya Swala.