Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 11

51:11
ٱلَّذِينَ هُمۡ فِي غَمۡرَةٖ سَاهُونَ ١١
Ambao wameghafilika katika ujinga.1
Footnotes
  • [1] Ambao kwamba wamezamishwa katika ujinga, wameghafilika na dalili za yakini.