Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 26

51:26
فَرَاغَ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِۦ فَجَآءَ بِعِجۡلٖ سَمِينٖ ٢٦
Akenda kwa ahali yake na akaja na ndama aliye nona.1
Footnotes
  • [1] Akenda kwa mkewe naye ana khofu, akaja na ndama aliye nona.