Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 32

51:32
قَالُوٓاْ إِنَّآ أُرۡسِلۡنَآ إِلَىٰ قَوۡمٖ مُّجۡرِمِينَ ٣٢
Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa watu wakosefu,1
Footnotes
  • [1] Wakasema: Kwa hakika sisi tumetumwa kwa kaumu iliyo pita kiasi katika uasi,