Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Adh-Dhariyat — Ayah 45

51:45
فَمَا ٱسۡتَطَٰعُواْ مِن قِيَامٖ وَمَا كَانُواْ مُنتَصِرِينَ ٤٥
Basi hawakuweza kusimama wala hawakuwa wenye kujitetea.1
Footnotes
  • [1] Basi hawakuweza kuinuka. Wala hawakuweza kujipigania kuijikinga na adhabu.