Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tur — Ayah 22

52:22
وَأَمۡدَدۡنَٰهُم بِفَٰكِهَةٖ وَلَحۡمٖ مِّمَّا يَشۡتَهُونَ ٢٢
Na tutawapa matunda, na nyama kama watavyo penda.1
Footnotes
  • [1] Na tutawazidishia matunda mengi, na nyama kama waipendayo.