Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tur — Ayah 30

52:30
أَمۡ يَقُولُونَ شَاعِرٞ نَّتَرَبَّصُ بِهِۦ رَيۡبَ ٱلۡمَنُونِ ٣٠
Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari.1
Footnotes
  • [1] Bali ati wanasema huyu ni mtunga mashairi, tunaye mngojea afikiwe na mauti!