Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tur — Ayah 4

52:4
وَٱلۡبَيۡتِ ٱلۡمَعۡمُورِ ٤
Na kwa Nyumba iliyo jengwa!1
Footnotes
  • [1] Na kwa Nyumba iliyo jengwa kwa sababu ya wenye kuizunguka kwa ibada na wenye kusimama na kurukuu na kusujudu kwa Swala,