Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tur — Ayah 45

52:45
فَذَرۡهُمۡ حَتَّىٰ يُلَٰقُواْ يَوۡمَهُمُ ٱلَّذِي فِيهِ يُصۡعَقُونَ ٤٥
Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo hilikishwa.1
Footnotes
  • [1] Waache bila ya kuwajali mpaka watakapo ikuta siku yao watapo angamizwa.