Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tur — Ayah 7

52:7
إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ لَوَٰقِعٞ ٧
Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi hapana shaka itatokea.1
Footnotes
  • [1] Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi waliyo ahidiwa makafiri bila ya shaka itawateremkia hapana hivi wala hivi.