Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 1

53:1
وَٱلنَّجۡمِ إِذَا هَوَىٰ ١
Naapa kwa nyota inapo tua!1
Footnotes
  • [1] Ninaapa kwa nyota inapo tua kwa kuchwa, ya kwamba Muhammad hakuiacha Njia iliyo sawa ya kufuata Haki, na wala hakupata kuitakidi upotovu.