Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 14

53:14
عِندَ سِدۡرَةِ ٱلۡمُنتَهَىٰ ١٤
Penye Mkunazi wa mwisho.1
Footnotes
  • [1] Katika pahala pasipo juulikana ila na Mwenyezi Mungu tu, ambapo amepaita Sidratul muntahaa, "Mkunazi wa Mwisho".