Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 18

53:18
لَقَدۡ رَأَىٰ مِنۡ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلۡكُبۡرَىٰٓ ١٨
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.1
Footnotes
  • [1] Hakika ameona mengi katika Ishara za Mwenyezi Mungu na maajabu yake makubwa makubwa.