Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 25

53:25
فَلِلَّهِ ٱلۡأٓخِرَةُ وَٱلۡأُولَىٰ ٢٥
Mwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye dunia na Akhera.1
Footnotes
  • [1] Kwani mambo yote, ya duniani na Akhera, ni ya Mwenyezi Mungu peke yake.