Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 3

53:3
وَمَا يَنطِقُ عَنِ ٱلۡهَوَىٰٓ ٣
Wala hatamki kwa matamanio.1
Footnotes
  • [1] Wala halitoki katika anayo yatamka ya Qur'ani kwa mapendo ya nafsi yake.