Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 39

53:39
وَأَن لَّيۡسَ لِلۡإِنسَٰنِ إِلَّا مَا سَعَىٰ ٣٩
Na ya kwamba hatapata mtu ila aliyo yafanya mwenyewe?1
Footnotes
  • [1] Na kwamba mtu hapati ila malipo ya vitendo vyake mwenyewe.