Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 44

53:44
وَأَنَّهُۥ هُوَ أَمَاتَ وَأَحۡيَا ٤٤
Na kwamba Yeye ndiye anaye fisha na kuhuisha.1
Footnotes
  • [1] Na hakika ni Yeye, ndiye Mwenye kuondoa uhai, na kuuleta.