Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 55

53:55
فَبِأَيِّ ءَالَآءِ رَبِّكَ تَتَمَارَىٰ ٥٥
Basi neema gani ya Mola wako Mlezi unayo ifanyia shaka?1
Footnotes
  • [1] Basi katika neema za Mola wako Mlezi una shaka nayo ipi?