Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 6

53:6
ذُو مِرَّةٖ فَٱسۡتَوَىٰ ٦
Mwenye kutua, akatulia!1
Footnotes
  • [1] Ambaye ametua akili zake na maoni yake, akasimama sawa sawa katika sura yake;