Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Najm — Ayah 60

53:60
وَتَضۡحَكُونَ وَلَا تَبۡكُونَ ٦٠
Na mnacheka, wala hamlii?1
Footnotes
  • [1] Na mnacheka kwa kejeli na maskhaara, wala hamlii kama wafanyavyo wenye yakini,