Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qamar — Ayah 30

54:30
فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ٣٠
Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu!1
Footnotes
  • [1] Basi vipi ilikuwa adhabu yangu na onyo langu kwa hao wakhalifu walio kwenda kinyume na amri.