A translation of every ayah of the Quran in Swahili.
Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 32
56:32
وَفَٰكِهَةٖ كَثِيرَةٖ ٣٢
Na matunda mengi,1
Footnotes
-
[1]
Na matunda ya namna nyingi na kabila nyingi yasiyo tindikia wakati wowote,