Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 44

56:44
لَّا بَارِدٖ وَلَا كَرِيمٍ ٤٤
Si cha kuburudisha wala kustarehesha.1
Footnotes
  • [1] Hapana ubaridi wa kupunguza joto la hewa, wala huruma ya kuwaletea nafuu wanapo vuta pumzi.