Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Waqi'ah — Ayah 89

56:89
فَرَوۡحٞ وَرَيۡحَانٞ وَجَنَّتُ نَعِيمٖ ٨٩
Basi ni raha, na manukato, na Bustani zenye neema.1
Footnotes
  • [1] Basi mwisho wake ni raha, na rehema, na riziki njema, na Pepo yenye neema.