Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Mulk — Ayah 7

67:7
إِذَآ أُلۡقُواْ فِيهَا سَمِعُواْ لَهَا شَهِيقٗا وَهِيَ تَفُورُ ٧
Watakapo tupwa humo watausikia mngurumo wake na huku inafoka.1
Footnotes
  • [1] Wakitiwa humo watasikia sauti mbaya ya kuchusha, na huo moto unatokota kwa ukali,