Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qalam — Ayah 11

68:11
هَمَّازٖ مَّشَّآءِۭ بِنَمِيمٖ ١١
Mtapitapi apitae akifitini.1
Footnotes
  • [1] Mtapitapi mwenye kueneza aibu za watu, mwenye kuwasengenya watu, kuwasema kwa siri, mwenye kutwaa maneno baina ya watu kwa sababu ya kuwafisidi,