Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qalam — Ayah 14

68:14
أَن كَانَ ذَا مَالٖ وَبَنِينَ ١٤
Ati kwa kuwa ana mali na watoto!1
Footnotes
  • [1] Ati kwa kuwa anajiona yeye ana mali na watoto wengi! Amezikadhibisha Aya zetu na amezipuuza.