Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qalam — Ayah 3

68:3
وَإِنَّ لَكَ لَأَجۡرًا غَيۡرَ مَمۡنُونٖ ٣
Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika.1
Footnotes
  • [1] Na hakika unapata thawabu kubwa zisio katika kwa ajili ya kufikisha Ujumbe.