Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Haqqah — Ayah 45

69:45
لَأَخَذۡنَا مِنۡهُ بِٱلۡيَمِينِ ٤٥
Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,1
Footnotes
  • [1] Basi bila ya shaka tungeli mshika akitoe kama mtu anavyo mkamata mtu kwa mkono wa kulia akammaliza hapo hapo.