Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'arij — Ayah 1

70:1
سَأَلَ سَآئِلُۢ بِعَذَابٖ وَاقِعٖ ١
Muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea!1
Footnotes
  • [1] Ameita, mwenye kuita, kuhimiza kama kufanya kejeli, iletwe upesi adhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo hapana shaka itawashukia makafiri.